
MAKUNDI MAKUU MANNE HAPA DUNIANI, JE WEWE UPO KUNDI GANI? Watu wengi hatujitambui tunaishi bila kujua maisha yetu binafsi yanakwenda wapi. Kutojitambua huko ndio chanzo cha wewe kubaki kila siku unahudumiwa na mama au baba kila kitu ukihisi bado mto…